Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2017

Faida za mdarasin na asali

Faida 27 Za Kiafya Zipatikanazo Kwa Kutumia Asali Na Mdalasini MUUNGWANA BLOG / 37 minutes ago MDALASINI NA ASALI Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida. Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora. Kama ifuatayo: 1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}. Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja. Vinginevyo tengen...

Nguvu za kiume

Picha
Kurudisha nguvu za kiume MUUNGWANA BLOG / 13 hours ago Kurudisha nguvu za kiume Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa . Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana. Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa , kama inavyojulikana , ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa . Ingawa , ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili . Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘ Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa ’. Na inapokuwa tofauti na hivi , tunaita ni ‘ kupungua au kukosa nguvu za kiume ’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine . Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume , au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha ...

Ajira ndani ya miaka 15 ijayo

Huwenda Mamilioni ya wafanyakazi duniani kuwa hatarini kupoteza kazi MUUNGWANA BLOG / 4 hours ago  Imeripotiwa taarifa ya utafiti inayodai kuwa kuwa mamilioni ya wafanyakazi duniani wapo hatarini kupoteza kazi zao kutokana na matumizi ya Sayansi na Teknolojia. Katika utafiti huo mpya uliofanywa hivi karibuni unaonesha kuwa kazi nyingi zitakuwa zinafanywa na robots miaka 15 ijayo ambapo Marekani ikiongoza kwa 38% ya kazi nchini humo zitafanywa na robots, kwa mujibu wa utafiti mpya wa PwC. Wakati huo huo, 30% ya kazi Uingereza zitafanywa na robots, Ujerumani ni 35% huku Japan ikiwa 21% ya kazi ambazo zitafanywa na robots katika miaka 2030. PwC imezitaja pia sekta zitakazoondoa watu wengi zaidi kwenye kazi na kutumia robots kuwa ni Usafirishaji, Viwanda, Maduka makubwa ya Jumla na Rejareja na sehemu ndogo katika Elimu, Afya na kazi za jamii. Wafanyakazi wa kiume wametajwa kuwa hatarini zaidi kupoteza kazi kuliko wanawake.

Sokoine

Picha

Atimka

Harmonize atimka baada ya kukutana na meneja wa Harmorapa kwenye kipindi MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago Muimbaji wa WCB, Harmonize ilikuwa awepo kwenye kipindi cha FNL cha Televisheni Ijumaa hii, lakini ameingia mitini baada ya kumuona meneja wa msanii Harmorapa maeneo ya studio hizo. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na EATV kupita twitter, zinadai kuwa baada ya Harmonize kumuona meneja wa Harmorapa, msanii huyo amemuoneshea kidole cha kati ambacho hudaiwa kuwa ni ishara ya tusi kisha akaondoka maeneo ya studio hizo. “Tunaomba radhi kwa ishara aliyoionesha hapa na Hamorappa wakati akielezea kitendo kilichofanywa na Harmonize,” walitweet EATV. Harmorapa akiongea katika kipindi hicho, amelaani kitendo hicho cha udharirishaji na kudai kuwa Harmonize amemtukana bosi wake kwa kumuonyesha ishara ya kidole cha kati baada ya kukutana. “Kwa kweli sijapenda Harmonize amemtukana bosi wangu kwa kumuonesha kidole cha kati, sijapenda kabisa,” alisema Harmorapa. Kwa upan...

Kitenge

Picha
Jinsi Maulid Kitenge alivyomnusuru Nape na bastola MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago MWANDISHI wa habari, Maulid Kitenge,  ambaye juzi alimnusuru aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye dhidi ya mtu aliyemshikia bastola wakati akielekea kuzungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam, amefunguka na kueleza kile kilichomsukuma aingilie kati. Juzi, mara baada ya Nape kuwasili karibu na hoteli hiyo, ambayo inapakana na Kanisa la Mtakatifu Petro, lililoko eneo la Oysterbay, aliposhuka tu ghafla kijana huyo mrefu mweusi akiwa amevalia suruali ya jinzi, shati la mikono mirefu la mistari mistari pamoja na kofia, alimkimbilia na kumshika mkono kiongozi huyo akimtaka arudi kwenye gari. Nape hakukubaliana na hatua hiyo, ambaye alimtaka kijana huyo aonyeshe kitambulisho, lakini hakufanya hivyo, zaidi alirudi hatua chache nyuma na kisha kutoa bastola iliyokuwa kiunoni kwake na kumtishia. Wakati tukio hilo likitokea, ghafla alitokea k...

Sarafu

Historia Ya Pesa Za Sarafu Tanzania http://www.muungwana.co.tz/2017/03/historia-ya-pesa-za-sarafu-tanzania.html

Maumivu

Maumivu Wakati Wa Kufanya Mapenzi Kwa Wanawake http://www.muungwana.co.tz/2017/03/maumivu-wakati-wa-kufanya-mapenzi-kwa_24.html